Marehemu Alex Chaga |
Ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Alex waishio Oslo na vitongoji vyake watakutana kwa ajili ya maombolezo.
Siku: Ijumaa
Tarehe: 05.06.2015
Saa: 11 jioni (17:00 CET)
Mahali: Cafe Sjakk Matt vis a vis
Tinghuset Oslo.
Mtaa: C.J.Hambros plass 2
Wote mnaombwa kuhudhuria.
Kwa mawasiliano, wasiliana na
Sudi kwa namba 48 67 90 62
Daddy O. Hassan,
Mwenyekiti
Chama Cha Watanzania Oslo.
1 comment:
The attendees at the meeting managed to donate a total of NOK 13,500 to support the family of the late Alex Chaga, asanteni sana wenzetu. An account will be opened so that those who did not make it to the meeting can send their donations to that account. Details to follow from the Tanzanian association in Oslo.
Post a Comment